JINSI YA KUFANYA ILI KULINDA MIDOMO YAKO



chukua asali changanya na sukari kwa pamoja.kisha weka kwenye mji ya vuguvugu ,kisha osha midomo yako kila siku mpaka utakapoona ngozi yako iliyokufa imetoka.

baada ya kuosha paka mafuta ya mgando ambayo unajua hayadhuru ngozi 

kama unahisi unaweza kutengeneza mafuta yako ambayo ni salam kwa mdomo wako,unaweza kuchukua vitu hivi na kuvichanganya pamoja,utapata mafuta mazuri ya mdomo

  • mafuta ya glycelin
  • limao kiasi
  • asali kiasi
  • juisi ya machungwa

  • jinsi ya kutengeneza mafuta ya mdomo

  • chukua hivyo vitu nilivyolodhesha hapo juu .vichanganye vizuri alafu koroga mpaka uone umepata uzito unaostahili kuwa mafuta ya mdomo.
  • mbali na kupata mafuta utakuwa umefanikiwa kulinda ngozi yako na kutibu kwa wale ambao tayari wameshaharibika midomo
  • ANGALIZO
  • angalia kabla ya kutibu midomo angalia vyakula unavyokula ili usijisumbue kutengeneza mafuta kumbe vyakula unavyokula ndo vinakuathiri.
  • VYAKULA UNAVYOWEZA KULA
  • vitamini A ni muhimu sana kula  kwan vinasaidia kukuza ngozi baada ya ile iliyokufa kuondoka,pia husaidia ngozi kuimalika.
  • vyakula vinavyoitajika ni karoti,nyanya,na mboga za majani.

Comments

Popular posts from this blog

jinsi ya kurudisha matiti yaliyolala

UREMBO WA MAFUTA YA MDALASINI