JINSI YA KUFANYA ILI KULINDA MIDOMO YAKO
chukua asali changanya na sukari kwa pamoja.kisha weka kwenye mji ya vuguvugu ,kisha osha midomo yako kila siku mpaka utakapoona ngozi yako iliyokufa imetoka. baada ya kuosha paka mafuta ya mgando ambayo unajua hayadhuru ngozi kama unahisi unaweza kutengeneza mafuta yako ambayo ni salam kwa mdomo wako,unaweza kuchukua vitu hivi na kuvichanganya pamoja,utapata mafuta mazuri ya mdomo mafuta ya glycelin limao kiasi asali kiasi juisi ya machungwa jinsi ya kutengeneza mafuta ya mdomo