jinsi ya kurudisha matiti yaliyolala
kwa wakina dada na mama ambao maziwa yenu yanawakela hii ndo dawa yake fanya kwa wiki mara mbili utayafurahia maziwa yako. unatakiwa uchukue kijiko kimoja cha vitaminiE,kijiko kimoja cha kijiko cha maziwa mgando,kijiko kimoja cha mayai.changanya na uhakikishe mchanganiko wako umechanganyika.baada ya hapo fanya massage kwenye matiti yako kwa kutumia mchanganyiko huo,ukishafanya massage vaa bra ya zamani ambayo imezeeka kwani mchanganyiko huo ni rahisi kuharibu bra. baada ya hapo tumia maji ya vuguvugu kuhakikisha unaosha matiti yako