JINSI YA KUTUMIA MAFUTA YA MDALASINI KWENYE UREMBO. mafuta ya mdalasini unaweza kusafishia uso kwa kutumia maji ya mvuke yaliyotiwa mafuta hayo. chukua matone2-3 ya mafuta weka kwenye bakuli la maji ya moto,funika kichwa kwa kutumia taulo,kaa kwenye mvuke mpaka uhakikishe unatoka jasho. mvuke wa mafuta unasaidia kutibu chunusi na kumaliza kabisa tatizo hilo.unaweza kufanya hivi kwa wiki mara mbili.na kupaka kipako chako kwa kila siku. UNAWEZA KUOGA MAJI YA MDALASINI. mafuta haya yanafaida mara mbili.kwanza yanakuwa na harufu nzuri lakini pia yanasaidia kuchangamsha mwili pamoja na uwezo wa kulinda ngozi na bakteria chukua matone 6 ya mafuta changanya na chumvi ya kupikia nusu kikombe weka kwenye ndoo uliyoandaa kwa ajili ya kuogea . MASAJI KWA MAFUTA YA MDALASINI. tia matone kumi ya mafuta katika milimita 250 ya maji ya moto.loweka taulo au kitambaa ndani ya maji hayo kisha fanya masaji katika mwili wako hasa pale panapouma maji haya ni mazuri kwa kutibu michubu...
Nitamjalibu mke wng
ReplyDeleteYatasimama milele ama
ReplyDelete