Posts

JINSI YA KUFANYA ILI KULINDA MIDOMO YAKO

chukua asali changanya na sukari kwa pamoja.kisha weka kwenye mji ya vuguvugu ,kisha osha midomo yako kila siku mpaka utakapoona ngozi yako iliyokufa imetoka. baada ya kuosha paka mafuta ya mgando ambayo unajua hayadhuru ngozi  kama unahisi unaweza kutengeneza mafuta yako ambayo ni salam kwa mdomo wako,unaweza kuchukua vitu hivi na kuvichanganya pamoja,utapata mafuta mazuri ya mdomo mafuta ya glycelin limao kiasi asali kiasi juisi ya machungwa jinsi ya kutengeneza mafuta ya mdomo

UREMBO WA MAFUTA YA MDALASINI

Image
JINSI YA KUTUMIA MAFUTA YA MDALASINI KWENYE UREMBO. mafuta ya mdalasini unaweza kusafishia uso kwa kutumia maji ya mvuke yaliyotiwa mafuta hayo. chukua matone2-3 ya mafuta weka kwenye bakuli la maji ya moto,funika kichwa kwa kutumia taulo,kaa kwenye mvuke mpaka uhakikishe unatoka jasho. mvuke wa mafuta unasaidia kutibu chunusi na kumaliza kabisa tatizo hilo.unaweza kufanya hivi kwa wiki mara mbili.na kupaka kipako chako kwa kila siku. UNAWEZA KUOGA MAJI YA MDALASINI. mafuta haya yanafaida mara mbili.kwanza yanakuwa na harufu nzuri lakini pia yanasaidia kuchangamsha mwili pamoja na uwezo wa kulinda ngozi na bakteria chukua matone 6 ya mafuta changanya na chumvi ya kupikia nusu kikombe weka kwenye ndoo uliyoandaa kwa ajili ya kuogea . MASAJI KWA MAFUTA YA MDALASINI. tia matone kumi ya mafuta katika milimita 250 ya maji ya moto.loweka taulo au kitambaa ndani ya maji hayo kisha fanya masaji katika mwili wako hasa pale panapouma maji haya ni mazuri kwa kutibu michubu...

jinsi ya kurudisha matiti yaliyolala

Image
kwa wakina dada na mama ambao maziwa yenu yanawakela hii ndo dawa yake fanya kwa wiki mara mbili utayafurahia maziwa yako. unatakiwa uchukue kijiko kimoja cha vitaminiE,kijiko kimoja cha kijiko cha maziwa mgando,kijiko kimoja cha mayai.changanya na uhakikishe mchanganiko wako umechanganyika.baada ya hapo fanya massage kwenye matiti yako kwa kutumia mchanganyiko huo,ukishafanya massage vaa bra ya zamani ambayo imezeeka kwani mchanganyiko huo ni rahisi kuharibu bra. baada ya hapo tumia maji ya vuguvugu kuhakikisha unaosha matiti yako 

baadhi ya michoro ya piko

Image
kwa wale wanaopenda kupwndwza baada ya mwenzi wa ramadhani hiyo ni baadhi ya michoro ambapo kama unaweza kuchagua mmoja wapo utatoka poa.